Usikute mama kakosea kumbe kapatia!

Ipo size yangu rafiki.. Nashukuru siko bapa
Rafiki najua ipo,wanawake wengi wenye sura mbaya huwa wanakuwa na chura kama lote halafu huwa sijui hata kwa nini huwa inakuwa hivyo!Kuna dada mmoja hapa mtaani ana sura ya kutisha ila ana chura la kufa mtu!!
 
Hahahhaa.. Huyo avatar ni aggy huyo
Rafiki najua ipo,wanawake wengi wenye sura mbaya huwa wanakuwa na chura kama lote halafu huwa sijui hata kwa nini huwa inakuwa hivyo!Kuna dada mmoja hapa mtaani ana sura ya kutisha ila ana chura la kufa mtu!!
 
kitu ya kawaida kwa simu zetu za Tecno unaandika Human yenyewe inaandika Women ni sawa na kuandika kurekebisha na hapohapo unapost ss tumeshajua ni kurekebisha
Over
Hivi kaka Ukwaju na kufananisha ama ni wewe 🤔
 
Mama anatumia tecno, akakosea kuandika neno human, alipobonyeza space bar ikafanya auto correct, ikaandika women, mama bila kujua akapost
Ni kweli aisee..
Hizi keyboard zinaponzaga mda mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…