View attachment 2338975
Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/
Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/
Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k.
Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe bila kujua.
Sawa tunajua unafanya vibarua vizito, sasa unavyorudi kwako ndio usioge?
Sawa tunajua wewe ni fundi wa shirika flani, ndio uwe unavaa nguo za kazini unavyorudi kwako?
Sawa mama tunajua wewe ni mke wa ndani, ila ndio uwe unavaa rafu arghh,