Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 118
- 124
[emoji117]Ila kuhusu kodi ya majengo kuna watu wanalalamika bure tu, Kodi hii ipo kwa muda mrefu na tumekuwa tukilipa kila mwaka kilicho fanyika ni serikali kuongeza wigo wa kuipata hiyo pesa maana kuna watu wengi sana wanakwepa kulipia kodi hii ya majengo
[emoji117]So kuilipa kwa kutumia Luku haina tofauti sana na namna ambavyo tulikuwa tunalipia zamani kwakuwa gharama ni ilele ila njia ya kulipia tu ndio imebadilishwa
[emoji117]Hii itaondoa usumbufu kwa serikali kuwafatilia wanaokwepa hii kodi pia itaondoa usumbufu wa kulipia cause hauna haja tena ya kwenda TRA na serikali itapata pesa nyingi zaidi kuna halmashauri nyingi tu hasa za DC watu hawalipii kabisa kodi ya majengo yao.
[emoji117]Wasiokuwa na umeme kwenye nyumba zao waendelee kulipia kwa utaratibu wa zamani
Jeremiah Kipoya