Usilalamikie kodi kwa Luku, imekuwepo kwa muda mrefu na tumekuwa tukiilipa kila mwaka

hahahaha kwa hiyo kama zamani sio hahaha wewe utakuwa unakaa kwa shemeji.... mtu unaambiwa na tanesco ndugu mteja ili upate umeme unatakiwa kununua umeme wa zaidi ya 2000 ili kulipia kodi ya jengo kwa miezi miwili halafu wewe unasema ni sawa na zamani? hahaha wewe ni chizi
 
Pumbavu!
 
Kulikuwa na kodi ya kichwa enzi hizo...soma historia

Bora CCM warudishe hiyo tujue moja...ili ukilipa then unajitoa mwaka mzima.


Zama za baada ya uhuru ilikuwepo KODI YA MAENDELEO nayo ilikuwa mshikemshike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…