Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Du! Hatari! Mpaka funguo fake za bentley! Sijui fake ni funguo au bentley yenyewe ndio fake!

Akina yahaya utawaweza wewe, hapo anachongesha funguo za kizushi af mda wote utamuona unazagogesha goshesha, mara mdomoni, mara kumpointia mtu.... hasara tupu kwa hawa vijana
 
inabidi nianze kuyajua maduka kibao kwa ajili ya shopping
 
Unakuta binti katoka maswa mwanuzi mshamba akifika chuo anabadilikaa,alikuwa hajawahi kwenda club sasa ndio anaenda ,nyumbani kabanwa chuoni uhuru,akirudi likizo maswa anajifanya kashasahau kisukuma
 
Unakuta binti katoka maswa mwanuzi mshamba akifika chuo anabadilikaa,alikuwa hajawahi kwenda club sasa ndio anaenda ,nyumbani kabanwa chuoni uhuru,akirudi likizo maswa anajifanya kashasahau kisukuma

tena Maswa ya Kinamwigulu au Buchambi noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…