xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
-
- #161
umeona eeeh!
ahahahaaa! chezea money wewe!
ahahahaaa! chezea money wewe!
chezea pesa usichezee ajira
Nilijua tu lazima akaze mwili uitoleee salute....
petha kitu ingine aseee
Lemme switch to jamii intelligence, kule hayo mambo ya kuvunjana mifupa ya kifuani hakuna...!
sio ya kuhongwa lakini! mi naogopaga aisee
Hujui ka vitu haramu vitamu thana when compared with halal ones
Unakuta binti katoka maswa mwanuzi mshamba akifika chuo anabadilikaa,alikuwa hajawahi kwenda club sasa ndio anaenda ,nyumbani kabanwa chuoni uhuru,akirudi likizo maswa anajifanya kashasahau kisukuma
akuu! mi sitaki ata kuonja iyo ladha yake! nsije nogewa bure!
akuu! mi sitaki ata kuonja iyo ladha yake! nsije nogewa bure!
mh! kumbe ndo zako eh! ucjifanye mjuaji huko watakuparua za uso! ohooo
unajuaje ukionja unanogewa, ushaonja wewe
unajuaje ukionja unanogewa, ushaonja wewe
Nikizidiwa si naomba poo fasta fasta, natimkia kule love connect kutafuta muchumbaa
heheheh wapo wa hivyo wengi tu
La hivo likidisco ntalizomeea mpaka likome