C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Nov 8, 2014 #1 kwawale mliochaguliwa diploma maalum udom usilipe yani unasajiliwa bila hata ya hiyo hela. .
M maths90's Member Joined Oct 7, 2014 Posts 19 Reaction score 0 Nov 8, 2014 #3 unayosema ni kweli mwana vp kuhusu na tution fees
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Nov 8, 2014 Thread starter #4 More than seriouz.. . Iko hivo wadau
H HARD BONE Member Joined Nov 4, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Nov 9, 2014 #5 tuliolipa tulbug kutokana na utalatibu wao mbovv so ambao hamjalipia msilipe chochote.
Isack B Member Joined Aug 21, 2014 Posts 73 Reaction score 13 Nov 9, 2014 #6 HARD BONE said: tuliolipa tulbug kutokana na utalatibu wao mbovv so ambao hamjalipia msilipe chochote. Click to expand... Kwahiyo unamaanisha chakula mnakula bure katika cafeteria ya chuo!? Na kama jibu ni ndiyo, wanawatambiaje wahudumu wa cafeteria?
HARD BONE said: tuliolipa tulbug kutokana na utalatibu wao mbovv so ambao hamjalipia msilipe chochote. Click to expand... Kwahiyo unamaanisha chakula mnakula bure katika cafeteria ya chuo!? Na kama jibu ni ndiyo, wanawatambiaje wahudumu wa cafeteria?