Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Daaaa... Umenikumbusha maisha ya pugu sec.. Mimi nilikuwa nakaa mapinduz 1... Na mama mahinda mtaalamu wa maabdazi ya duara..[emoji23][emoji23]
 
Sasa unazidisha sana uongo ili story ivutie... Utaanza kuwashtua watu. Maana si lazima mtu ukitunga story useme ilikutokea.sometime unatakiwa kuwa mkweli tu kuwa hii ni story ya kubuni kwani huwa mnalazimishwa mseme yalikutokea? Huu mchezo unakomaa sana JF. Na story hii umeichukua kwa Binadugu kule group la whatsapp unaleta huku ukidai ni yako. Siyo sahihi ndo maana walikuita mwizi sababu kama hizi.
 
Ila Kuna watu wa gubu humu,wakiona story ya mtu inasifiwa, wataponda na kuchafua ilimradi wamkere mhusika aache kusimulia. Sijui wanapata faida gan. Hiv mnachukukiaje mtu kupoteza muda wake kuandika, kupoteza bando lake na hatumlipi Wala Senti afu bado tunamzingua.

Kama wewe unaona story ya kutunga c upite mbali uwaachie wengine wanaoipenda hivyo hivyo na uongo wake. Tujifunze kuappreciate kazi za watu jaman
 
Tunga yako panya ww...mnakatisha tamaa sana nyie..kila kitu mnajua.... Ulitaka awaze kama wewe.... Acha ushamba kama huwezi kuisoma sign out........ Acheni kupangia watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…