Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Halafu muhusika sio kwamba anaomba msaada au ushauri na hakuomba afatiliwe...ni mapenzi ya mtu tu lkn anavyo semwa utadhani kamkalia mtu kalioni.
 
Kachukue wewe whatsapp ulete humu basi....

Utakuta umeweka hii comment upate likes.... watoto bwana.
 
Sasa kama anachukua story ya mtu analeta, mbona tena unasema "ndio maana walimuita mwizi"? Inamaana kwamba story ni ya kwake kweli, au unamaanisha mengine yote kaiba isipokuwa hapo kwenye "mwiziiii, kamata mwizi huyoo"?
 
Mkuu ukiachiwa gerezani hupewi chochote hata nauli?
 
Mkuu ukiachiwa gerezani hupewi chochote hata nauli?
Magereza za kibongo sidhani hata kama wanajiridhisha kujua mfungwa ataishije baada ya hapo. Hata ukitoka kifungoni kisha ukaenda kujinyonga hawajali. Pia unaweza kufungwa kimakosa na mahakama ikajiridhisha kwamba hukuwa na kosa lakini umeshatumikia miaka/miezi kadhaa, bado watakuacha zaidiya wlivyokukamata. Bongo nyoso
 
Sasa kama anachukua story ya mtu analeta, mbona tena unasema "ndio maana walimuita mwizi"? Inamaana kwamba story ni ya kwake kweli, au unamaanisha mengine yote kaiba isipokuwa hapo kwenye "mwiziiii, kamata mwizi huyoo"?
Ukichukua kitu cha mtu bila idhini yake ni wizi. Na yeye kumbuka hii story si yake.
 
🖕
 
Uko sahihi kabisa, watu wengi hawatomsahau maishani mwao. Jua kuwa ukiwa mwema au muovu sana watu hawawezi kukusahau kirahisi. Uovu wa jiwe utakumbukwa milele na milele kama ule wa Idd Amin.
 
Mkuu si uache kuisoma tu, au kuna shida gani wewe usipoisoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…