Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

lete ile ya kwako jinsi ulivyo bakwa na majambazi na usipindishe hata neno kima ww usipende kuweka neno kwenye story za wanaume.
 
Dah kweli maisha Ni fumbo kubwa sana
 
Kumbe hata wewe una wivu wa kike?
Plus roho ya kichawi...kmk
 
Hii story unatakiwa uchangiwe bundle wenzako wana make pesa sana. Kwa kuwa yule jamaa wa Whatsapp yeye anaitoa bure wewe anzisha group wenzako huwa wanapata pesa. Na si lazima useme yalikutokea hapo lazima watu watakushtukia unajua wadada wengi wanapenda stories. Kuna jamaa naye anakuja ana copy kwako anaenda irusha instagram anapata pesa yake vizuri kujiunga tsh 3000 na watu wanalipa.

Wewe unatoa whatsapp unaleta JF. Yeye anatoa JF anapeleka insta sema tu yeye ana akili anawatoza watu pesa na anapata. Ndo mjini palivyo.
 
Ameamua aitoe bure na karibu anaimaliza...acha shobo
 
Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,

Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,

Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
 
Huyu ndo mwanaume sasa hasikilizi kelele za watu na kususa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…