Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Mhandisi this is too much asee....
 
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
Sio kweli hayo mateso wameyapitia hta ambao hawajaiba chchte pia weng tu wametapeli na kuiba afu wametoboa maisha vzur tu,
Kuna watu wema Sana ila wameptia mateso kuzd huyo jamaa Kwahy sikubaliani na hili.

Maisha hayana formula [emoji119][emoji119]
 
Et instagram
Unaijua insta wewe? Nan kasema insta kuna magroup?
 
Angeweza hata kuomba nauli kwa Bwana Jela au Yule Askari aliekuwa anaelewana nae angemkpa nauli ili akipata amrudishie kwa Tigo pesa, kuliko kutoka jela na kuanza kutangatanga mji wa watu.
Nauli ya tabora au Dar? Ngoma ni kama 25 hadi 35 kipindi hicho, bwana jela atoe wapi ? Tena ampe mtu asiyemjua

Labda angeweza kupewa buku, angedandia magari kibishi ya kwenda Arusha, kwenye kile kiwanda cha A to Z angeweza kupata tena kazi kisha nauli ya home ajipange upya
 
Kwahio watoto Wanaozaliwa na ulemavu na maradhi wamemkosea Mungu?
kawaulize hao watu wanavoshinda mahospitalini yni Mungu anakuadhibu kwa njia nyingi mnoo
Utasikia huyu anaumwa kensa ya damu,mishipa imeziba yte hayo ni Mateso unayopewa na Mungu kwa yale uloyatenda
 
Sio kweli hayo mateso wameyapitia hta ambao hawajaiba chchte pia weng tu wametapeli na kuiba afu wametoboa maisha vzur tu,
Kuna watu wema Sana ila wameptia mateso kuzd huyo jamaa Kwahy sikubaliani na hili.

Maisha hayana formula [emoji119][emoji119]
Mi naweza kuwa na madhambi kuliko ya jamaa ila sijawahi kukutwa na mabalaa kiasi hicho.
Ni bahati tu inakuwa mbaya au nzuri
 
Huyo ni mswahili.

Bado anatunga uongo wake.

Lami ilikuwa inaishia Pugu lakini anakwambia niliburuzwa katika lami nikiwa nimeshikilia gari.

Uongo mtupu
Mwaka wa haya mabomu lami ilikuwa imeishia Pugu? Kwa uelekeo upi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…