Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Mkuu nia yako Nini haswa?Unataka utamu uishie njiani?
Nashukuru dada Joannah ,yaani huyu hajiulizi kuwa huko kabla ya kurudi Arusha he angepata Zali wakakaa na mtu akamwambia Kuna Shule fulani ama huyo wa gari angemkatalia kumbeba Mana anaweza akamfia njiani. You've to bet smart and don't bet all your chips.
You can't lose a shirt if you don't bet it
 
Ni very frustrated. Hata thinking yake haipo vizuri kwa wakati huo
 
msitu wa Langoni huo,ulipita njori mpaka msitu wa Langoni,bila shaka ulitokea kijiji cha mandaka mnono
 
Shida kuzaliwa kijijini unaletwa mjini na chuo unadhani kitatokea nn
 
Nasty!
Umemjibu vema sana man,BIG UP!
 
Shida kuzaliwa kijijini unaletwa mjini na chuo unadhani kitatokea nn
Ni hulka tu ya mtu sio mahala pa kuzaliwa nadhani. Na tangiapo hapa Tanzania sidhani Kama Kuna mjini wa kusema kuwa utamchanganya mtu.
Kidogo Nairobi nakubali na Lagos na baadhi ya miji ya sauzi hivi mkuu. Ila Tanzania ni vijiji vilivyochangamka full stop sioni Kuna mjini.
Tabia Haina rangi dini mahali ulipozaliwa.
 
Jamaa. Mbona kasema wazi zaidi ya Sehemu 3 gari ilisimamishwa ikiwemo Eneo la TRA.

Na isitoshe kaelezea hata habari za mataa ya Ubungo??

Hakuna kitu kama iko kwa miaka iyo naamini ata barabara za juu ubungo ilikua bado foleni ilikua kali balaa. Lazima gari lisimame. Upite kote huko lisimame. Mtu tuu unakua na gari ya kawaida ila ukisimama kuchimba dawa unachungulia hadi uvunguni. Wao kontena toka moshi halikutazamwa ndani.

Sukari imekolea chai, tusome tuu kupoteza mida
 

Sijakutuma uni quote wala sijakutuma ubongo wako uwe mvivu kufikiria. Ni mjinga tuu ata amini kwa miaka iyo ubungo ilikua haifai kwa foleni afu leo gari iingie Dar isimame. Ilo la kufungulia mlango kila mtu anafahamu. Gari isimame kufanyiwa ukaguzi dereva ushuke usiweze ata kuchungulia gari yako hahah
 

Haiwezi kua hivyo maana story itakua fupi. Kuongeza matukio ndio story sasa
 
Kwa mara ya kwanza gari inatembea moshi tu dar bila mtu kuchungulia kontena.ukaguzi unafanyika bila kuchungulia ata nyuma. Gari inafika dar hakuna mahali imesimama ata kwenye taa au foleni aisee. Simulizi imefika patamu
Anagusia vitu muhimu story akiandika mpk ukaguzi af asionwe c ndo mtadai Ni chai af wewe c ndo choko lile la juu libishi au wewe choko mpya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…