Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Wanaume tumeumbwa mateso mateso, kuhangaika
 

[emoji2314][emoji2314][emoji2314]
 
Inaonekana ulisoma memkwa au ulichelewa kuanza shule umezaliwa miaka ya 80 ila shule umesoma kipindi cha mabomu.

Tuendelee mkuu, itafahamika mbele
Inaonekena na wewe ni kifaranga cha mjini. Wote tuliozaliwa miaka ya 1980 hadi 1984 ndo bachi iliyoingia Chuo kua kuanzia 2002 hadi 2006. sasa hapo unashangaa nini kusikia boom.
 
 
Hayo na kanisani na msikitini tusipangiane ni maisha binafsi kabisa..wala sio wote wanaabudu hiyo miungu ya waarabu na wayahudi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukipata nafasi shusha na yapili🀜🏿
 
Yaani hata hujui kama kuna maisha huko unaenda tu!
Mkiambiwa information is power mnapuuzia!
 
Aisee, hatimaye maisha yanaonekana yamechukua muelekeo mpya wenye matumaini, ama kuna mabalaa tena huko mbele?

Ila mkuu mkiwa mnasubiri saa 10 ifike si ungepanda daladala na kwenda kwa Da Jane uchukue namba ya Sity na za kwake kisha uwaambie umepata mchongo, maana walikusaidia sana

Au jamaa angekuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…