Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Dah kweli uuzi umenifundisha kitu Kweli tukikutana na watu wanatuomba msahada uko mtaani tusisite kuwasaidia watu wanapitia changamoto sana.

Maana kuna mtu mwanaume mwenzio akikufata kwamba mchizi mimi hapa ni mgeni na njaa naomba buku nile uelewi yani unaona jamaa fala uyu anakosaje buku.

Ukiishi maisha ya kishua sana utaona hii ni chai mwanzo mwisho bora hii story inatia moyo Kwa mwisho mzuri kuna watu toka wanazaliwa mpaka kufa ni msoto tu mpaka wana kufa.
 
Kmmkoo wallahi 😂🤣
 
Mkuu unaona tutaomba connection nini?🤣

Asante sana, bonge moja la stori na umekuwa muungwana kuimaliza. Ubarikiwe sana.

Amani iwe pamoja nawe.
 

Hakuna aijuaye kesho yake. Some kubwa sana
 
mkuu kusaidia watu ni mhimu sana ,mtu anakuomba sh 1000 kumbe inamsaada kwake wakati we unaipeleka kwenye bia
 

Duuh huzuni taarifa za Sitty [emoji24]
 
Dah aisee a very ending story. Mkuu umetisha saaana.
Nilichofurahi ni kuwa ulipokelea simu ukiwa mafinga my hometown hapa nilipo sasa.
Mkuu alikisina nakupongeza kwa kutokumuacha Happy aisee.
Amemuoa Happy mzazi mwenzake ni jambo zuri kwani amemuepusha na kero za usingo Mother

Ila sehemu ya mwisho imenihuzunisha kwa Kifo cha Sity, nimeamini kuwa Kizuri huwa hakidumu.

Pia imenifurahisha kwa yeye Kupata kazi na Kukumbuka kulipa fadhila. Kisoda amekuwa chanzo cha mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…