Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Bora umeimaliza ili tuendelee na pilika pilika nyingine. Angalau umemalizia kwa kusema ni chai... Sehemu zinazo kuhusu ni pale mwanzoni kwenye mabomu. Asante sana kwa burudani.
 
ALIEKUA ANAJIUZA NI JANE NA SIO HAPPY. KAMA UTAKUMBUKA MWANZO ALISEMA HAPPY ALIKUA NI MTOTO WA DIWANI NA ALIMTIA MIMBA KIPINDI YUPO LIKIZO YA CHUO.
 

Hatimaye asante kwa kutupunguzia stress ukipata wakati leta story nyingine
 

Tatizo budget za muvi zetu ni finyu. Maana movie itaitajika kuchezwa hadi congo. Team isafiri wakati movie zetu tunataka kucheza dar tuu
 
Shida inakuja kuna wasanii,kuna siku niko gomzi kaja dada kanisalimia ana mtoto mgongoni ananiambia ana shida ya nauli sikumbuki alisema ya wapi lakin inafika 1500 nikampa buku,nikamwambia Anza na hii,
Kesho yake nilibadili nguo dada kanisahau kaja tena ikabidi nimchane kumbe wewe tapeli jana uliniomba,nikachunguza nikakuta kumbe hata yule mtoto sio wake wapo kama watatu wanapokezana huyo dogo kwenda kuomba.

Kwaiyo tatizo linakuja wanatukatisha tamaa sisi ambao tupo tayari kusaidia kwa kidogo tulicho nacho .kuna jamaa nae huwa anavaa kanzu anaongea lafudhi ya kipemba anajifanya mgeni kuna siku tumekutana watu kama watano wote kashatuomba hela kwa style ya ugeni.
 
haaaaa hapa mwisho sasa, ila Asante kwa uzi mzuri
 
[emoji1980][emoji1980][emoji1980]
 
Wakat na bahati vikikutana huwa unatoke mwisho Kama was hii story..Mungu hamtupi mja wake..
 
Great story hapo mwisho kuna lovable point nimependa, 👏🏾👏🏾👏🏾.
 
Sity kacheza nafasi yake vizuri sana, amekuwa na upendo wa kweli mwanzo mpaka mwisho bila kujali kuwa mpenzi wake hana kitu...R.I.P sity

Marafiki kama Kisoda ndo wanatakiwa katika maisha na sio wakuwapoteza hata kidogo

Hongera sana mkuu story yako imetuburudisha, imetuhuzunisha lakini pia imetuelimisha
 
Mkuu ubarikiwe sana, umetoa funzo kubwa sana, wish you all the best.!
 
Duu nimejifunza uvumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…