Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

" Sikushauri kujilipua na kwenda sehemu hukujui, huna ndugu, huna hela eti unaenda kutafuta maisha, siku shauri"

Sasa mkuu tukifata huu ushauri si tutaishia kuzunguka zunguka tu hapa hapa mjini? Mbona wenzetu wasomali,wakenya,warundi,warwanda wamejazana kwny nchi mbali mbali hata hapa bongo wamejaa kibao je wao mbna wanajilipuaga na wanatoboa maisha?

Kuna wasomali wanamiliki mijengo ya maana sana maeneo kama mbezi beach huwa najiuliza hawa wenzetu wanatuzid nn sisi wabongo?
 
Unalinganisha maembe na mapera!!
Barabara ni neno 1 lenye maana 2.
Passport ni neno 1 lenye maana 1. Maana yake hii hapa (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240507
Passport size photos (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240509
Bado mnabishana kajitu kadogo kama haka kweli hamna kazi,shida ilikuja kwa yule anaejifanya anajua passport sana wakati sie huku kitaa hakuna haja ya kusema neno lote "passport size",ukisema passport tu inatosha,acheni ushamba mmeshakuwa wakubwa hata kama mnaishi kwa shemeji zenu
 
kama vipi alete season 2 [emoji28]
 
Nimeenda vzuri ila hii ya mwisho kuanzia hapo kuitwa interview nikahisi hii story ni ya kutunga kwa jinsi ilivyoisha.
 
Nimeenda vzuri ila hii ya mwisho kuanzia hapo kuitwa interview nikahisi hii story ni ya kutunga kwa jinsi ilivyoisha.
kama tu wrestling kaka [emoji28].sio uongo kwa asilimia zote ila ni scripted real story.
 
Script ilivo ilikua lazima Sity atoweke kwenye maisha ya jamaa kwa namna moja au nyingine. what if Sity angekua hai. Happy ingekuwaje na tayari alikua kesha muahidi kumuoa na pia alishamzalia.
Kwa hivyo mkuu unataka kusema jamaa amempoteza sity kwa kusema amekufa ili story yake ikae usawa na asipokee lawama hapa jukwaani?
Is that make sense kwanini asiseme alikuta kaolewa?..
 
Daaaaaah mima haikutqni binadamu hukutana , mdogo wangu Sina Akili ni wewe kweli? Aaaaah Jamani Sity ametutoka jamani wifi yangu Sity siamini.....ulivyoondoka kwenda Arusha tulikutafuta sana hadi tukakata tamaa.Sity aliapa hata tafuta mtu mwingine atakusubiri....mimi nilipata watoto watatu ila bwana akanikimbia maisha yalinishinda nikarudi kwetu Mombo nafanya vibarua kwenye mashamba ya katani.
Unikumbuke na mimi dada ako.........msamlimie wifi yangu Happy na watoto. Natamani nije Dar nikuone mdogo wangu miaka mingi sijaja huko nimepauka na jua huku.
 
Daaaaaaaaaaamn daaaaaaaamn daaaamn. Mkubwa umetisha umetisha umetisha.Hii ni jf greatest story of all time. Unakipaji cha kuhadithia kisicho cha kawaida. Bado siamini kama hii kisanga haijakukuta wewe bali umeileta baada ya kuhadithiwa. You deserve a medal bro. How do I pay u for this
 
Asante kwa story mkuu.

Hongera sana kwa kuwa na maisha yako sasa, maana uliyoyapitia ni makubwa sana.
 
Mmeanza baada ya kusikia anapata mshahara mnono akina Wema sepetu hamkosekani nenda2 ukaliwe kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…