Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Ahsante Akili Sina kwa kutushirikisha visanga vya maisha ya MTz.
Picha halisi ya maisha yetu.
Umasikini, mifumo duni ya usalama wa raia, elimu, ajira mahakama (inamfunga mtu bila ya ushahidi wa kilichoibwa ni maneno tu), uvunjifu wa haki za binadamu, uhalifu, kubambikiana shutuma, kesi, rushwa. Kwa MTz mmoja mmoja, hatuna uaminify, wezi, husda, na chuki, ukatili uliokithiri bila ya kumpa nafasi yeyote anayeshutumiwa ajieleze.
Ila inaonesha kuwa Tz unaweza kwenda kuishi popote, watu wema wapo, na zaidi, elimu inalipa.
Tutakiane mema, tupendane na kusaidiana, tuwe waaminifu.
 
Leta story yako na wewe, usimpangie Akili Sina na usimliaji wa story yake.
 
Bila shaka wewe ni dogo wa LY (darasa la 7) tena shule ya girls, vibinti vya shule ndo huwa vinaubishi wa namna hii. Kama siyo usijibu basi.
Bila shaka wewe ni dogo wa form two tena shule ya girls,vibinti vya shule ndo huwa vinaubishi wa namna hii
 
Asante sana,, barikiwa mtu wangu
 
🔨✊🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…