Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Ayooooo unaongea tu maana ni mawazo yako ...ila maji yakimwagika hayazoleki.... kuomba msaaada sio inshu hofu juu ya watu wa pale ilishamjia na kuona watu wote si wema

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Asee stori imenigusa ile kwene damu nimejifunza meeng .....maisha ni safari tumtangulize MUNGU KWANZA katika KILA jambo naye atanyoosha njia zetu barikiwa SANA mzeeee naamin wengi humu jf tumejifunza ubarikiwe

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Asante sn mkuu,hii story imenitoa machozi,hakika MUNGU ni mwaminifu sana[emoji122]
 
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
Akhi umenisoma mawazo yangu na mm nilifikiria iyo iyo ndio Sity akamwambia umemkosea nn Mungu wako, eeh bwana weee huyu Sity anaonekana ni ncha Mungu kwa kweli na ana mapenzi ya kweli iwish nimuone kwa ajili ya kumjua tu si vyenginevyo .Kuna mtu yumo humu humu kanidhulumu 2.7M mpaka leo hajarejesha sijui ataishije huko lkn wizi au dhulma ya aina yyote basi ujue hutoboi ktk maisha yako hiyo dhambi itakutesa sana.
 
Inafikirisha na kuhuzunisha,kama mtu hana mwanzo mgumu basi kwao maisha safi sana
 
Da hii hali inafikirisha sana!
 
😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…