Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Hii sikuimalizia kipindi kile, ngoja jioni niandae popcorn nikae sehemu niimalizie
 
Da J na Sity hawa walikuwa malaika wako,nawaombea kwa mungu wapate maisha marefu na yenye baraka,walipambana sana
Wanawake wa kuoa ndio kama hao sasa

Si hiyo migunga mingine kila kukicha kuomba omba hela kama vilema
 
Kwenye bold umenifanya nicheke kwa nguvu....
 
dah, kuna maisha ukisoma ni kama hadithi ila kwa wengine ni maisha halisi. Kama hiyo ya kusingiziwa mwizi ni moja ya experience mbaya sana maishani omba sana isikutokee, binafsi ilinikuta sitakaa niisahau na wala si mbali juzi tu hapa miezi kadhaa nyuma. Mkuu umenipa moyo sana kutokata tamaa, hakika wakati wa Mungu ni wakati sahihi na kila jambo lina sababu maishani🙏🏾
 
Kwenye maisha ndugu zangu kama hauko tayar kurisk sahau kuendelea. Narudia tena kama wewe binafs hauko tayar kurisk kwaajili yako ndoto zako jiandae kuwaona wenzio wachawi. Watu. Nakumbuka mi nilitoka home nikiwa na miaka 15 na nikapotea miaka 9 . Hakuna aliyejua nilipo wakahis huyu jamaa alishakufa. Lakin huwez kuamin yaan wakati huo kile kilichokuwa kinanisukuma ndani kilikuwa kina nguvu kuliko taabu niliyokuwa napitia so sikuona shida yoyote. Japo nilipita kwenye moto kweli kweli. Ninamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwani alikuwa na Mimi kila hatua na sikufanya makosa aisee. Nilikuwa na kanuni moja tu. Utafute kwanza ufalme wa mfukon na mengine yote utapewa. No madem no pombe no clubs no bata. Ni kaz kusali na kulala. Jaribun formula hii. Jitahd shimo la kuingiza liwe kubwa kuliko la kutolea. Yaan hela unayoingiza iwe nyingi kuliko unayotumia. Ukiweza hiyo ni miaka 5 tu unatoboa. Remember u have family ya kuipeleka mbele sio jamii ya kuifurahisha. U live one's na ukifa umekufa. So tumia muda vizur. Kumbuka hili daima. Mungu+muda+maamuz+pesa. Ndio key ya maisha yako. Ukimpa Mungu nafas ya kwanza na ukautumia muda wako sawasawa na ukafanya maamuz sahihi kwakutumia hela unayopata the rest ni historia mazee.
 
Salute
 
Mkuu bado upo Mbinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…