Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

😂😂😂😂😂
 
Kwenye mabomu ya Gongo la mboto hapo ni kweli tulikuwa tunasuburi Practical ya chemistry Pugu Boys. Ila nimejaribu kufungua code nimeshindwa kukufuhamu maana Kwa maelezo hayo tulikuwa wote PCM.
Pole sana Classmate PCM na COET na hongera Kwa kula shavu
 
Nyie mlikua nyuma yetu, jamaa alielezea vizuri sana maisha ya Puguni
 
Dah! Pole sana mkuu
 
Hongera mkuu leo ndio nimeimaliza
 
Asee Akili Sina hii stori Iko vizuri nimeirudia tenah ipo katika ubora...

Mungu ni mwema Jana,Leo na hata kesho tusichoke kumwamini na kumkabidhi maisha yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…