Usilolijua kuhusu hayati Dkt.Kamuzu Banda na nchi ya Malawi!

Katika taarifa yako hii imetaja kuwa Malawi ilikuwa southern Rhodesia. Mimi siyo mjuzi wa historia mzuri lakini nasikia southern Rhodesia ilikuwa Zimbabwe sasa kama hiyo ni kweli kwamba southern Rhodesia haikuwa malawi, basi maelezo yako yote ni batili na ni ya kutunga.
 
Umeona hiyo kumbe nawe mkuu? Kuna South Rhodesia na Northern Rhodesia, Hizi ni nchi za Zambia na Zimbabwe, malawi haikuwa Rhodeshia.
 
Wanyasa vichwa maj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Mkuu lini umeacha Uhandisi na Kuwa Mwanahistoria Mkuu au Unawachanganya wadau
 
I dont know about him being Mzungu..ila one thing is jamaa was never a Mwian.He was from ghana,so rumour has it!!It never made anysense to us that he could never speak chichewa..wewe hata kama umekaa njee miaka mingi lazima lugha yako utaelew/ongeajapo kidogo,,Kamuzu never spoke any of malawian languages....anyway let the old man rst in peace
 
kumbe msiojulikana MNAJUANA?
Halafuu Mkuu Kuna siku Nimekuona Dodoma, Tabora Avenue Mitaa wanayoiita Uhindini Maeneo ya Azam Ukikataa Mtaa .. Siku hizi Upo Dodoma... Tutafutane Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…