A
Anonymous
Guest
Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia.
Mradi huu kwa sasa umetelekezwa pesa ambayo waliachiwa kwa ajili ya kuendeleza mradi imeliwa na hakuna udhibiti ukusanyaji mapato katika mradi huu.
Naiomba Serikali iwaleta watu wa idara ya maji wasimamie mradi na waweze kusambaza maji kwa watu na wawe wanalipia kwa control number kama mjini, hii itasaidia kudumu kwa mradi na kuongeza mapato.
cc Wizara ya Maji