Mkuu una laki nane nikuguide process zote mpaka kuandaa nyaraka.Habari wanajamii, natumai mko njema
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.
Natanguliza shukrani
Mkuu perusal jukwaa la sheria hizo taratibu zote pamoja na kazi za msimamizi wa Mirathi zimefafanuliwa vizuri tu na baadhi ya Mawakili wenye mioyo safi kwa binaadamu wenzao!!Habari wanajamii, natumai mko njema.
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.
Natanguliza shukrani
Acha upigaji,mchakato wa mirathi lazima uanzie mahakamaniMkuu una laki nane nikuguide process zote mpaka kuandaa nyaraka.
N.b sio kwenda mahakanani.
Mkuu mimi ni wakili. Nilinaanisha dau langu la laki nane halihusishi mimi kusimamia process za mahakamani.Acha upigaji,mchakato wa mirathi lazima uanzie mahakamani
Unaenda mahakamani na ivyo viambata Kisha utapewa fomu mbili moja ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na nyingine ya wadhamini utazijaza, iyo ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi utairudisha ikiwa imeambatanishwa na passport size za wanufaika, nikiimaanisha watoto wa marehemu, mume/mke. Kisha taratibu nyingine utapewa uko ukoVikiwepo hivyo naanzia wapi
Sio mbaya kama yuko bize au anahisi ni kazi ngumu basi hana budi kutoa hiyo 800 ila mimi mirathi zangu nimezipambania mwenyeweMkuu mimi ni wakili. Nilinaanisha dau langu la laki nane halihusishi mimi kusimamia process za mahakamani.
Ahsante sana mkuuUnaenda mahakamani na ivyo viambata Kisha utapewa fomu mbili moja ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na nyingine ya wadhamini utazijaza, iyo ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi utairudisha ikiwa imeambatanishwa na passport size za wanufaika, nikiimaanisha watoto wa marehemu, mume/mke. Kisha taratibu nyingine utapewa uko uko
Acha utapeli, nyinyi kila kitu mnaona fursa. Si umwelekeza hapa jukwaaniNitafute nikusaidie