Milego
Member
- Oct 19, 2017
- 42
- 21
Nina stashahada ya ufugaji viumbe maji (diploma in Aquaculture), nipo Dar es salaam nimesoma kozi ambayo inahusiana na ufugaji wa viumbe maji wakiwemo samaki wa maji chumvi na maji baridi, ni moja ya kozi inayotoa fursa ya kujiajiri kupitia kufuga samaki kwenye mabwawa(fish pond), vizimba(fish cages), Raceways na RAS.
Kulingana na uchumi na maendeleo ya ufugaji wa samaki Tanzania asilimia kubwa ya samaki wanaofugwa ni sato na kambale ambao ufugwa kwenye mabwawa kwa asilimia kubwa, pia asilimia ndogo ufugwa kwenye cages. Kwa mahitaji ya ushauri juu ya ufugaji wa samaki au uhitaji wa mtu ambaye atasimamia mradi wako wa ufugaji samaki nitafute kwa namba yangu 0756971185.
Sent using Jamii Forums mobile app