Usimamizi wa Vyombo vya barabarani kwa ajili ya biashara

Usimamizi wa Vyombo vya barabarani kwa ajili ya biashara

Biashara zote

Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
35
Reaction score
12
Habarini wanajamvi,natambua kuwa wapo watu wengi wanahela zao lakini hawana uhakika wawekeze kwenye kitu gani, Kama tunavyojua kwa dar es salaam Vyombo vya barabarani Kama pikipiki,Bajaji,Gari ndogo za mizigo(virukuu),magari ya kuuza Maji,daladala n.k vinaingiza Sana hela na zinakua ni hesabu zisizokua na usumbufu endapo tu utapata Dereva mzuri na mwaminifu.

Hapa kwenye kumpata MTU mwanminifu ndio kwenye tatizo na ndipo panapokatisha tamaa watu wengi Sana kuwekeza kwenye biashara hizi na kufanya watu kukosa kujiongezea kipato na kuendelea kukaa na Pesa zao bank tu.

Event 9 limited ni kampuni imeanza kufanya Kazi miezi 7 ilopita na inajishughulisha na Kazi nyingi moja wapo ikiwa ni kuwasaidia wananchi kwenye usimamizi wa Vyombo hivi vya biashara.

Why Event 9?
1. Tuna team ya madereva makini ambao tunawasimamia sisi(hivyo MTU Mwenye chombo hatapata Kazi ya kufatilia Dereva sisi tutafanya)
2. Mwenye chombo atapokea Pesa ya chombo kila mwisho wa mwezi Kama mshahara na Pesa hiyo itakatwa kiasi kidogo kwaajili ya usimamizi
3.Tunashirikiana vizuri na Bima na hii hurahisisha malipo kufanyika haraka endapo chombo kitapata ajali(hii humuondolea usumbufu Mwenye chombo kufatilia yeye ataidai kampuni Event 9)
4. Tuna mafundi maalum wa Vyombo ambao tunahakikisha Vyombo vyetu vinakua vinafanyiwa service kwa mda muafaka.(hii humuondolea Mwenye chombo uwoga kwamba Dereva wake hafanyi service na huwa anadanganya)

Hizo ni baadhi ya faida za kusimamiwa na event 9 katika biashara ya Vyombo vya barabarani.

Unachotakiwa kufanya ni kunitumia email yako nikutumie document yenye maelezo zaidi na vibali vyote vya kuruhusiwa kufanya Kazi hii.

Ofisi zetu ziko shekilango karibu na Urafiki.

Kwa mawasiliano zaidi 0658722538 nichek whatsaap na usisahau kunipa email nikutumia hizo documents.
 
Wazo Zuri Sana Hili. Nawatakia Kila La Kheri Wana Wa # Event 9 !
 
Asante Sana ELAFU,tunashukuru watu wanazidi kuja na kwa sasa tunasimamia pikipiki 17,Bajaji 8 na Suzuki carry 5 tunawakaribisha Sana na wengine ofisi zetu ziko shekilango
 
Back
Top Bottom