Usimchezee Mamba, atakutafuna

Usimchezee Mamba, atakutafuna

_20240301_195946.JPG
 
Kuna watu ni wajinga sana.

Mungu alishaweka mipaka kwa kila kiumbe kumkaribia asiyehusika nae mfano hivi mamba kaa kando ya maji mtoni mwache afanye yake lakini wewe unaenda kumzoa kwenda kucheza nae upige hela,kuna yule dogo wa kizungu chatu alimnyongea jukwaani mpaka wenzake waje kushtuka jamaa mavi yanamtoka akakata moto.
 
Show-off hiyo
Ona sasa utakuta alisomea tofauti na hayo 😄
 
Mbona huyo mwenzake hajapata mshtuko? Itakuwa washazoea kuparuliwa ngozi
 
Mamba alionokena hakuwa na baya kwa jamaa, sema jamaa mwenyewe alizidisha utani mwamba akaamua kukiwasha😂
 
Back
Top Bottom