Kuna watu ni wajinga sana.
Mungu alishaweka mipaka kwa kila kiumbe kumkaribia asiyehusika nae mfano hivi mamba kaa kando ya maji mtoni mwache afanye yake lakini wewe unaenda kumzoa kwenda kucheza nae upige hela,kuna yule dogo wa kizungu chatu alimnyongea jukwaani mpaka wenzake waje kushtuka jamaa mavi yanamtoka akakata moto.