Usimchukie mtu anayetengeneza pesa hata siku 1

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Watu wana wa-judge sana watu wanaopambana kutafuta pesa

Ilimradi tu hawavunji sheria, mimi nawaheshim sana, manaa wana uthubutu ambao wengi hawana.

1. Mitume na manabii
2. Wanasiasa
3. Wadangaji na wanaojiuza

Nasemaje, ntaendelea kuwaheshim hawa watu muda wote.
 
kazana
 
Back
Top Bottom