Watu wana wa-judge sana watu wanaopambana kutafuta pesa
Ilimradi tu hawavunji sheria, mimi nawaheshim sana, manaa wana uthubutu ambao wengi hawana.
1. Mitume na manabii
2. Wanasiasa
3. Wadangaji na wanaojiuza
Nasemaje, ntaendelea kuwaheshim hawa watu muda wote.