SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 Sep 26, 2018 #2 Kweli kabisaa Na mifano ni mingi mno ila watu hujisahau wanapikuwa kwenye madaraka au mamlaka flani.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 Sep 26, 2018 #3 Kwn mkuu huyo wa kulia ni pogba?
wizzy more JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 427 Reaction score 188 Sep 26, 2018 #4 Ndio yy M kathias said: Kwn mkuu huyo wa kulia ni pogba? Click to expand...
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Sep 26, 2018 Thread starter #5 M kathias said: Kwn mkuu huyo wa kulia ni pogba? Click to expand... Ndio mkuu
manizzle JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 3,421 Reaction score 4,320 Sep 26, 2018 #6 Kweli pesa sabuni ya roho. Jamaa katakata utafikiri hiyo picha nyingine sio yeye
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Sep 26, 2018 #7 kama Diamond..watoto wa kiume siku hizi wanapenda urembo...
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,314 Reaction score 5,150 Sep 26, 2018 #8 Jackal said: Ndio mkuu Click to expand... Ungemwambia ni mess
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,535 Reaction score 14,840 Sep 26, 2018 #9 Itovanilo said: Ungemwambia ni mess Click to expand... Sio pogba ni kajamaa tu wamefanana, picha imesambaa sana facebook na " wasap " groups!
Itovanilo said: Ungemwambia ni mess Click to expand... Sio pogba ni kajamaa tu wamefanana, picha imesambaa sana facebook na " wasap " groups!