Usimfananishe Air Manula na vitu vya kijinga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20211231_183245128256.jpg

kwanini walisema FORM IS TEMPORARY BUT CLASS IS PERMANENT?

Ni kwasababu walijua watatokea Watu na kutaka kufananisha Kiwango na DARAJA, ila wamesahau kuwa kuwa katika kiwango bora kwa muda mrefu ndio unajenga Daraja

Unapotaka kumfananisha Kipa yoyote narudia Kipa yoyote nchini dhidi ya Aishi Manula Kuna vitu unapaswa kwanza kuvifahamu akilini mwako

Kwanza idadi ya mechi hapa utapata kitu kinaitwa CONSISTENCY, amesimama kwenye ubora kwa muda mrefu sana ndipo hapo inakuja CLASS

Pili ndani ya idadi ya mechi lazima uje kutazama kitu kinaitwa LONGEVITY, span ya huyo Mchezaji ipoje tangu ameanza kukaa golini mpaka hivi sasa??

Well yes! Aishi ana ndoo nne za Ligi, mbili za FA, Ngao pia! Tutoke hapo tuje kwenye level alizocheza, kacheza michuano ya Afrika ngazi ya Klabu na timu ya Taifa! Ukija kwenye eneo hili wapo wangapi nchini wa kumfikia??

Hivi mnawaza nini kumfananisha Aishi na Kijana aliecheza mechi si zaidi ya 12 za Ligi Kuu?? Kijana ambaye hajui ladha ya michuano ya Afrika? Mnawaza nini??

Kijana mwenye kiwango bora anaendaje kumfundisha Golikipa mwenye Daraja la juu kwa muda mrefu?? Tangu lini sikio likazidi kichwa?😃

My Take
Unamfananisha Manula na kipa ambaye strikers pinzani wanakuwa wamelipwa posho na Hersi?
 
Kiukweli manula ni hazina ya nchi tuliyobahatika kuwa nayo, huwa nashangazwa na watu ambao hawajioni wenye bahati kuwa na kipa kama huyu katika kidongo hiki cha tanganyika

Unajua zamani ukiangalia kwenye soka wachezaji wanao ng'aa na kutengeneza umaarufu mitaani, wengi walikua ma streaker na viungo na washambuliaji.

Kitu kilichopelekea watu wengi wasione nafasi ya goli kipa kwenye mechi, kwasababu ilishazoeleka forwad akishawapita mabeki hasi hakuna namna ni goli tu.

Lakini aishi manula amekuja kubadilisha uoepo jamaa ni moja ya icon ambayo imewa inspire vijana wengi sana hapa na kuwafanya kila mmoja kutamani siku moja waje kuwa kama yeye.

Huyu ni goli kipa aliyekutana na vipindi vigumu sana na ameonyesha umaridadi wake effectively, imagine jamaa anaenda al ahly misri halafu anafungwa goli tano lakini saves alizo chomoa ni zaidi ya 10

Na kwakuonesha kwamba anavyofungwa hua anazisoma mbinu za mpinzani ni pale ambapo hapo juzi alienda misri kwa hao hao al ahly na akafungwa goli moja tu, can you imagine?
 
Manula anajitahidi Sana ......ila ...kwa DIARA manula bado mtoto Sana

Baadh ya chambuzi za Diara kuwa bora Zaid

1.Diara anaelekeza timu nini kifanyike pale timu inazingua kwenye difense line ..lkn manula hawezi kufanya ivyo

2. Diara anajiamini kwa kuanzisha mipira mingi kuanzia kwa beki

Lkn manula ni butua mbele ....kitaeleweka mbele (wanyakyusa wanaita .....koma kumwanya )
 
‘Kitaulo’ manula, bila kitaulo hawezi kucheza, hahaaas
 
View attachment 2064175

kwanini walisema FORM IS TEMPORARY BUT CLASS IS PERMANENT?

Ni kwasababu walijua watatokea Watu na kutaka kufananisha Kiwango na DARAJA, ila wamesahau kuwa kuwa katika kiwango bora kwa muda mrefu ndio unajenga Daraja

Unapotaka kumfananisha Kipa yoyote narudia Kipa yoyote nchini dhidi ya Aishi Manula Kuna vitu unapaswa kwanza kuvifahamu akilini mwako

Kwanza idadi ya mechi hapa utapata kitu kinaitwa CONSISTENCY, amesimama kwenye ubora kwa muda mrefu sana ndipo hapo inakuja CLASS

Pili ndani ya idadi ya mechi lazima uje kutazama kitu kinaitwa LONGEVITY, span ya huyo Mchezaji ipoje tangu ameanza kukaa golini mpaka hivi sasa??

Well yes! Aishi ana ndoo nne za Ligi, mbili za FA, Ngao pia! Tutoke hapo tuje kwenye level alizocheza, kacheza michuano ya Afrika ngazi ya Klabu na timu ya Taifa! Ukija kwenye eneo hili wapo wangapi nchini wa kumfikia??

Hivi mnawaza nini kumfananisha Aishi na Kijana aliecheza mechi si zaidi ya 12 za Ligi Kuu?? Kijana ambaye hajui ladha ya michuano ya Afrika? Mnawaza nini??

Kijana mwenye kiwango bora anaendaje kumfundisha Golikipa mwenye Daraja la juu kwa muda mrefu?? Tangu lini sikio likazidi kichwa?[emoji2]

My Take
Unamfananisha Manula na kipa ambaye strikers pinzani wanakuwa wamelipwa posho na Hersi?
Mkuu hujatenda haki! Hujatoa credit! HILI ANDIKO NI LA SHAFII DAUDA.

Manula apewe heshima yake!
 
Djigui amewezesha timu za Taifa (Mali) U-17,19,20
Kucheza na kupata nafasi 3,2.
Djigui alichaguliwa kwenye kikosi cha CHAN wachezaji 22.
Djigui aliwezesha timu ya Taifa Mali ( U20) World Cup kwa kuwatoa German kwenye nusu fainali baada ya extra time.
Team za vijana za Mali Huyu Djigui ndiye Captain.
Huyu golikipa anaweza ku anticipate hatari inayoelekezwa golini kwake.
Ana uwezo wa kuchezea miguu (feet players)
 
unapoteza muda bure kulijibu hilo kolo la mudi.
 
Djigui amewezesha timu za Taifa (Mali) U-17,19,20
Kucheza na kupata nafasi 3,2.
Djigui alichaguliwa kwenye kikosi cha CHAN wachezaji 22.
Djigui aliwezesha timu ya Taifa Mali ( U20) World Cup kwa kuwatoa German kwenye nusu fainali baada ya extra time.
Team za vijana za Mali Huyu Djigui ndiye Captain.
Huyu golikipa anaweza ku anticipate hatari inayoelekezwa golini kwake.
Ana uwezo wa kuchezea miguu (feet players)
Licha ya mali kuwa na magolikipa wengi soka la kulipwa, bado jamaa amechaguliwa kuwa kipa namba moja ktk michuano yote walocheza kitaifa, na bado anaenda kukaa langoni CAF.
 
Acha Uongo.
 
Djigui amewezesha timu za Taifa (Mali) U-17,19,20
Kucheza na kupata nafasi 3,2.
Djigui alichaguliwa kwenye kikosi cha CHAN wachezaji 22.
Djigui aliwezesha timu ya Taifa Mali ( U20) World Cup kwa kuwatoa German kwenye nusu fainali baada ya extra time.
Team za vijana za Mali Huyu Djigui ndiye Captain.
Huyu golikipa anaweza ku anticipate hatari inayoelekezwa golini kwake.
Ana uwezo wa kuchezea miguu (feet players)
Diara kwenye timu ya taifa ni sawa na kabwili anavyoitwa anasugua benchi mpka michuano inaisha.
 
Manula aanze tu kubeba mabegi yake kwenye Timu ya Taifa. Muda si mrefu Tanzania One atakuwa dogo Abuutwalib Mshery! Yaani dogo ameingia tu kwenye timu ya Wananchi kwa mara ya kwanza, halafu akaonesha ubora wake kwa 100%!!!
 
Nikimwangaliaga manula huwa nakubaligi tu kwamba zali bado zipogo.
 
Bandiko lako limekaa kinazi sana huko mwisho

Sijui kaandika jemedari saidi😂
 
MNAMUITA TANZANIA ONE NA WAKATI KIWANGO CHA KAWAIDA SANA
 
Back
Top Bottom