unajuaje labda tunaenda kuchukua ujuzi huko nje na kuuleta ndani... lol
well said..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,
Akazidi kusema......................
''Nawaambia akina baba/wanaume mkome kuwafanya wake zenu,
kuwa dada zenu, utundu na ufundi wote mwaupeleka kwa mahawala,
matokeo yake wake zenu wanaanza kutoka nje ya ndoa.''
Akazidi kusema...........................
''Wewe mume usimwonee huruma punda kwani kupigwa bakora,
ndiyo furaha yake, kama gari kanyaga mpaka chini,
hakuna aliyewahi kutoboa eksileta kwa kukanyaga mafuta.''
Wapendwa wanajamii wenzangu, habari ndo hiyo,
sijui nyie mwasemaje?
Mie nilibaki natikisa kichwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!
MBARIKIWE SANA!!!!!
Kuna shda kubwa sn kwenye haya mambo. Utakuta mwanamke anahudhura kila kitchen-party, lkn akija ndani amechoka mbaya na hana mpango na mtu.. Hiz shughuli zmekaa kimaslaha zaidi.
Mi nashanga, ma ujuzi yote kwa hawara zenye rutuba zote unamwaga huko nje ndani unaleta iupepo tu, hamuoni hamtendi haki? kwa kweli mie namsapoti huyo kungwi maana wababa wengi wamejisahau sana kuhusu swala zima la kuwapa dozi wake zao, tena kama ndio anae wa pembeni anaweza kukupaa za uso hata mwezi mzima, hapo mdada akitoka analaumiwa nini sasa, binafsi sipendi na sitetei mwanamke au mwanaume kutoka nje lakini kuna situation inatokea inambana muhusika anajikuta keshatoka
Hivi Aisha mambo ya malavidavi,
huwa ni kwa watu wa Pwani tu eeeeh?
Wa Bara sie hayatuhusu lol......kazi kweli kweli!!!!!!!
We acha tu ndugu yangu,
kwa watu wa bkb hayo mambo wamekuja kuyajua wameishaingia ktk ndoa zao make kule hata kitchen party hazikuwepo walikuwa wanaona kama wanawafundisha ufusika
Mikimiki ya sherehe za jikoni...wanakatika huko weeeeee wakirudi nyumbani nguvu hamna!Sasa Paka Jimmy ndo utuambie hapa,
kinachowachosha ni nini mara tu wanapoingia ndani?
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,
Akazidi kusema......................
''Nawaambia akina baba/wanaume mkome kuwafanya wake zenu,
kuwa dada zenu, utundu na ufundi wote mwaupeleka kwa mahawala,
matokeo yake wake zenu wanaanza kutoka nje ya ndoa.''
Akazidi kusema...........................
''Wewe mume usimwonee huruma punda kwani kupigwa bakora,
ndiyo furaha yake, kama gari kanyaga mpaka chini,
hakuna aliyewahi kutoboa eksileta kwa kukanyaga mafuta.''
Wapendwa wanajamii wenzangu, habari ndo hiyo,
sijui nyie mwasemaje?
Mie nilibaki natikisa kichwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!
MBARIKIWE SANA!!!!!
Sasa Aisha unasemaje hapo,
ni kweli akina baba wanapendelea kupeleka ufundi,
na maujuzi yote nje?
sounds good.....................
keep it up................