Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo alelewe na baba au mama ambaye si wake. Atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto

Yes mnaweza kuishi hata kwa unafiki kwa ajili ya watoto. Ila kama kuna kutesana, kunyqnyasana, kupigana na kutukanana mbele za watoto ni shida kubwa zaidi kwa watoto hao.

WABAYA NI HAWA WANAOZAA NJE YA NDOA SISEMEI KABLA YA NDOA (KUNA WAKATI WATOTO HAO WALIITWA WANAHARAMU) MWANAMKE ANAJUA HATOWEZA KUKAA PAMPJA NA HUYO MWANAJME ILI WALEE MTOTO WAO LAKINI ANAZAA NA ANAZAA TENA...MWANAUME ANAJUA HATOWEZA KUKAA NA HUYO/HAO MANAWAKE LAKINI ANAZAA NA WANAWAKE MBALIMBALI NA WATOTO WANALELEWA KWA REMOTE.

WANADAMU NI WABINAFSI SANA...HAWAJUI NI KIASI GANI WANAWATESA WATOTO KM ULIVYOELEZA HAPO JUU. WANAONA RAHA KUPIGA SIMU NA KUSEMA " ONGEA NA MWANAO" , " MTOTO AMEKUKUMBUKA" , " MTOTO ANAUMWA" ..." ASANTE KWA OUTING"
LAKINI YOTE HAYO NI MATESO KWA MTOTO HATA KWA YULE MZAZI ASIYEKAA NA MTOTO.

ACHENI KUZAA KAMA PAKA...SISI NI PEOPLE
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…