Usimpe mkeo/mpenzi wako umaarufu kwa namna yoyote ile

Usimpe mkeo/mpenzi wako umaarufu kwa namna yoyote ile

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Yaan hata kama umeoa Pisikali , wee hakikisha haiwi maarufu Kwa namna yoyote uwezavyo.

Ukimkuta ni Maarufu tayari yaan Kwa siku akipost kitu mitandaoni anapata Likes kuanzia 2K na comments kibao ,alafu ukiangalia hamna Cha maana anachopost zaidi ya mapicha picha tu , ACHANA NAYE.
 
Utampaje umaarufu kama wewe sio maarufu??
 
Cha msingi usitukuze umaarufu wake ila kama umempenda kuwa nae at your own risk!
 
Back
Top Bottom