MduduAli
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 551
- 968
umesubiri kwa muda mrefu then simu hyo “Fika kwenye usaili siku fulan muda huo” umejipanga vzur kusali sana Nondo zimekaa..
Unafika kwenye uwanja wa usaili unakutana na mwenzio pia amekuja kwenye hiyo hiyo Interview.. hapo kuna Kuwaga na watu kazi Yao ni kukupotezea direction tu yan anakupoteza kabla hauja ingia kwenye panel
Wana maneno fulan hivi mara “Hii kazi ikiwa na hivi na vile msahara plus plus sifanyi” na wewe unajaa maji ukiingia mle ndani ukiulizwa “unataka ulipwe shingapi” unafuata maneno ya nje salary scale ya kampuni na uliyo taja ni mara sita..
Sasa hv ukienda kwenye usaili usicheke na yeyote mpaka ukisha maliza zako ndo uanze kutoa meno nje.