Usimuamini mtoto..

Usimuamini mtoto..

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku

MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki

MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki….mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
 
Watoto wa digital hawalali,hata akilala anaacha akili ikiwa active
 
Back
Top Bottom