Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Dr. Haya...Interesting
Ugonjwa uliomsababishia kifo umempata akiwa kwenye mchakato wa kuandika historia yake.Kuna mambo Dossa Aziz akikuhadithia kuhusu Julius Nyerere
utabakia mdomo wazi.
Nasikitika Mwalimu hakunyanyua kalamu kuandika historia hii.
Naweza kupata nakala ya kitabu hiki, hasa pdf ?Kina...
Kitabu cha Abdul Sykes kimeeleza mengi sana kuhusu Julius Nyerere ingawa hayo yangetoka kinywani mwake ingekuwa bora zaidi.
Kitabu kinauzwa Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani bei elfu kumi tu.Naweza kupata nakala ya kitabu hiki, hasa pdf ?
Hakuna uwezekano wa kununua soft copy? Maana nipo nje ya DarKitabu kinauzwa Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani bei elfu kumi tu.
Mkuki na Nyota Samora Avenue pia kipo.
Ngika90,Hakuna uwezekano wa kununua soft copy? Maana nipo nje ya Dar
Mlandizi alikuwa anaishi mtaa ganiView attachment 3372382
Mwalimu Nyerere akisukuma gari pamoja na watu wengine
"USIMUONE VILE KAMBARAGE ANA KIBEGA"
Dossa Aziz
Picha hiyo hapo juu inanikumbusha Jumapili moja miaka mingi iliyopita tumekaa barazani nyumbani kwa Dossa Aziz Mlandizi.
Miaka mingi Dossa Aziz na Ally Sykes walikuwa hawajaonana.
Niliona jinsi Dossa alivyomlaki Ally Sykes kwa bashasha.
Dossa Aziz alikuwa anasikiliza radio asubuhi ile kama saa nne amefungua BBC World Service.
Dossa Aziz anaagiza achinjwe mbuzi.
Hakika alikuwa amefurahi kupita kiasi.
Siku hii Ally Sykes alikuwa amenipeleka nyumbani kwa Dossa nikamhoji kuhusu historia ya TANU.
Ally Sykes alikuwa na mgeni wake mwanamke Mmarekani Mweusi kutoka gazeti maarufu Washington Post.
Mbele ya nyumba yake kulikuwa na mabaki ya Land Rover.
Katikati ya mazungumzo Dossa Aziz akanyoosha kidole kuelekeza ile Land Rover akaniambia, ''Nimesafiri kwingi na Kambarage katika gari hii wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika."
Akanyamaza kidogo.
"Wakati mwingine gari inakwama njia mbovu.
Kambarage anashuka kwenye gari tunasukuma gari pamoja na watu wengine.
Usimuone vile Kambarage ana kibega."
Kibega maana yake nguvu.
View attachment 3372383
Dossa Aziz katika siku zake za uzeeni akiishi Mlandizi
View attachment 3372382

Smart...
Huyu ndiye Dossa tajiri wa TANU ?..View attachment 3372382

Naam.Huyu ndiye Dossa tajiri wa TANU ?..
Selectively kuna waasis wa hili taida ambao walitolewa kwenye historia makusudi kla ku white wash matendo ya nyerere, ili aonekane saint. This people wana deserve to be knownDr. Haya...
Indeed very interesting.
Kuna mambo Dossa Aziz akikuhadithia kuhusu Julius Nyerere