Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mambo kama una akili ya kufikiri karibu wengi wanakimbia mchezo.NI kweli mkuu
Well said MkuuNi vema kuchunguza mambo mwenyewe badala ya kuamini tu kila tunachoambiwa
Ndio na ukumbuke karibia wote tayari wana chanjo.ndivyo inavyotakiwa kwa mujibu wa malekezo yenu mkuu?
Sasa kwa akili ya kawaida ni wakati gani barakoa inapaswa iwekwe vizuri wakati unaongea na mtu karibu au wakati mmesimama kusikiliza mhadhara kwa mfano.Mbona huyo mama ana barakoa hapo amaishusha ili kuweza kuongea na mtu vizuri?
Mkuu, sioni kama wana sifa hizo unazowamwagia. Wako kama sisi tu. Ila swali la msingi ni kuwa, kilichowafanya wapige picha na mask ni kipi; na kilichowafanya wavue ni kipi?Wote hawa wamechanjwa. Hapa kuna wengine wamevaa barakoa. Huyu mama nafikiri ni Nancy Pelosi , Spika wa Bunge anaongea na mshikaji wake- tatizo liko wapi? Acha kupenyeza agenda ambayo haipo. Watanzania tuchukue tahadhari kama wataalam wanavyotushauri. Marekani ni nchi tajiri, uwezo mkubwa wa kutibu wagonjwa wa korona kuliko sisi. Hapa Tanzania - tutaishiwa mitungi ya oksijeni haraka - wagonjwa wakiwa wengi.
wadudu wa magonjwa "HATARI" nao wanajua hayo?Kuna muda wa maisha binafsi na kuna muda wa maisha ndani ya utaratibu.Sidhani kama hapo kuna jambo lolote la maana zaidi ya kushindwa kwako kuelewa kua hao ni binadamu wana maisha binafsi na wana maisha ndani ya sheria na taratibu zilizowekwa mahali husika.Ata hapa tanzania kuna ofisi ukifika bila kunawa mikono na kuvaa barakoa huruhusiwi kuingia na ukiingia ndani watumishi wote wamevaa barako lakini ukitoka nje watumishi hao hao unakutana nao hawajavaa.Sasa ukijua kutofautisha haya maisha utaondoa ilo giza kichwani kwako.