Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Nov 30, 2010 #1 Hata siku moja usimwamini huyo uliyenae, jiamini mwenyewe, kwani huyo uliye nae huenda anakudanganya. Hebu angalia picha hizi http://myfunnyworld.net/funny-pictures/whats-happening-behind-peoples-back.html uone jinsi binadamu tusivyokuwa waaminifu.
Hata siku moja usimwamini huyo uliyenae, jiamini mwenyewe, kwani huyo uliye nae huenda anakudanganya. Hebu angalia picha hizi http://myfunnyworld.net/funny-pictures/whats-happening-behind-peoples-back.html uone jinsi binadamu tusivyokuwa waaminifu.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Nov 30, 2010 #2 N i kweli lazima tu makini tunapokuwa na wapenzi wetu!!
M Mmwaminifu JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 1,129 Reaction score 302 Dec 3, 2010 #3 Nawasiliana na wachina kuona uwezekano wa kufunga site mirror kwa binadamu maana kama ishu ndo hizo hali ni mbaya
Nawasiliana na wachina kuona uwezekano wa kufunga site mirror kwa binadamu maana kama ishu ndo hizo hali ni mbaya