Usimwani demu akikwambia anakuzimia mkiachana tu atakutangazia una kibamia ila .

Unaringia kitumbua na mimi nina bonge la Muwa..nikikupata najua hutonisumbua (In Ney wa mitego's voice)
 
Teh! ndio kustiriana kwenyewe huko mkuu unapiga ukelele "nakojouwaa" kumbe hakuna lolote unazingatia ya kungwi tu mwanaume ajione jogoo kumbe ushuzi mtupu
Sina mbavu uku.Kumbe zile kelele ua ni maigizo eeenh!.
 
Sina mbavu uku.Kumbe zile kelele ua ni maigizo eeenh!.
Kuna jamaa ishamtokea yani bado hata hajaingiza mzigo demu akaanza kupiga kelele. Ilibidi jamaa amchenchie akamwambia hizi ndio mbinu za kuniibia pesa zangu hata sijafanya chochote we unalia shenzi taip. Demu akaufyata kanywea akawa mdogo kama piritoni
 
Noma sana ......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dadeq awa madada wa mujini!..Mungu anawaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…