nawezaje kutumia iPhone kwa social networks bila kulazimisha kupitia iTunes kwani account yangu ilishafungwa since ntoke kwa watu (ilikuwa AT & T),only social networks zinagoma kufungua/kudownload km cmu zingine kwani matumizi km internet pgs,music, calls sms etc zafanya kazi kama kawaida kabisa!, eg face book, skype, youtube etc! taf wale watundu wa technology nipeni maarifa hapa!