Using PayPal and MoneyBookers with CRDB VISA Card

Sijui unatumia kadi ya benki gani lakini kama CRDB, inabidi kwanza ujaze disclaimer form kule CRDB ndipo waiwezeshe kadi yako ku-link.

Na je kuna njia nyingine ya malipo bila kutumia kadi?
 
Dear jF family,
I have a TZS savings account with CRDB (holder of tembo card visa electron) and I'm intending to travel outside TZ in a couple of weeks. Meanwhile, I am expecting to receive some money in euros and by the time the money is in I will already have gone in a country where their national currency is neither euro nor USD. My trip will take place in a couple of weeks and this is the money for my living while there (will stay for few months). So please help me make the right decision. Should I use my CRDB TZS account for the transfer of euros or should I open a new euro account with CRDB so as not to loose so much money in 2 transactions (euro-TZS and TZS-another currency)? Or should I use another bank? Which is the best option for an optimal saving of these euros that will be sent to me?
Thanks.
 
Mimi nilisajiliwa kwa kujaza fomu za CRDB ili kadi niitumie online lakini hakuna kitu na nilishaweka uzi hapa kutoa angalizo kwa wengine. Kila nilipojaribu holaa!! nikawasiliana na benki wakasema tunashighulikia nikajaribu tena holaa!!. Nilipowasumbua sana wakasema badilisha kadi utumie master card. nikapewa hiyo master card nikaisajili ili itumike online, nilipo jaribu tena holaaa!! nikaenda benki kuwawakia wakabadilika tena wakasema kadi za master card bado hazijaanza kutumika kwa manunuzi online.

Tangia hapo nikawa nimechoka kabisa.
Matangazo mengi lakini wizi mtupu wanatoza maelfu kibao kila mwezi kwa ajili ya kulipia hizo kadi lakini huduma hakuna.

Usipoteze muda wako labda jaribu kadi za benki nyingine.
 
Ndaga Fijo,It was one hell of an education!!!!
 
Hv inachukuaga muda gan crdb kucomfirm PayPal..maana nimejaza form Leo saa 3 pale crdb lakn hadi saa hv inagoma kuaccess paypal
 
Wahudumu wengine vihiyo kweli, juzi nilienda NBC nikamuuliza manager wa customer service, kwamba ninaweza kufanya manunua eBay, kwa kutumia kadi yangu ambapo malipo yatakuwa yanakatwa na hawa PayPal?? Alishangaa na kuniuliza PayPal ndio nini?? Nilishangaa hadi leo
 
UBA Wamepatoa utatuzi kwa wale waliokua wakipata tabu na manunuzi mtandaoni kwa kuleta visa card yao isiohitaju kua na account na ni card pekee iliothibitishwa na visa (verified by visa) hibyo pesa zako haziwezi kupotea hata kidogo. Jinsi ya kupata nipigie 0786962692 au tembelea matawi ya uba posta kkoo na pugu road
 
Thanks and regards!
 
UBA ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Not possible.
Your password is only for you, no one else has your password.

Online purchase unatumia CARD NUMBER na Card Verification Value (CVV), hutumii pin/password. Kwa mtajo huu mfanyakazi yeyote wa bank anayezijua namba hizi mbili kama si mwaminifu anaweza kukuibia kwa kutumia details zako online.
 
No... I do have a PayPal account; yes you can not receive money if you arein Tz. But I doubt it is because of money laundering issues. Kuna nchi zina hilo tatizo KULIKO Tz by far, na wana full PayPal access. Nadhani it is simply a market issue (size, quality, modality na vitu kama hivyo).
Kuna gharama ya hizi transactions. Ninaamini idadi ya waTz waliopo PayPal ikiongezeka, Paypal itaona umuhimu wa kuruhusu two way transaction kwa wateja wao waliopo Tz. Kwa sasa the numbers are simply too small.
cheers
===
 
Online purchase unatumia CARD NUMBER na Card Verification Value (CVV), hutumii pin/password. Kwa mtajo huu mfanyakazi yeyote wa bank anayezijua namba hizi mbili kama si mwaminifu anaweza kukuibia kwa kutumia details zako online.

Ni CARD NUMBER na sio ACCOUNT NUMBER? Naomba ufafanuzi hapo, mujemaso
 
Last edited by a moderator:
Very best answer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…