mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,970 Mar 13, 2012 #1 Jamani nina tatizo la kupata usingizi kupita kiasi.Nikiwa hata kwenye foleni najishtukia nimesinzia kwenye usukani.Nikifika nyumbani ni kulala tu.Nisaidieni tafadhali!
Jamani nina tatizo la kupata usingizi kupita kiasi.Nikiwa hata kwenye foleni najishtukia nimesinzia kwenye usukani.Nikifika nyumbani ni kulala tu.Nisaidieni tafadhali!
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Mar 13, 2012 #2 piga kahawa