James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
Kulala usingizi wa kutosha kila siku kutakupunguzia sana safari za kwenda kumuona Daktari. Usingizi ni kinga ya magonjwa kama kisukari, magonjwa ya moyo, kunenepa kupita kiasi, kusahausahau mambo n.k. Kama hulali usingizi wa kutosha utakufa mapema!! Ukweli ndio huo.
Unapoendelea kukimbizana na maisha kumbuka kutenga muda wa masaa manane ya kulala usingizi kila siku.
Unapoendelea kukimbizana na maisha kumbuka kutenga muda wa masaa manane ya kulala usingizi kila siku.