M Magwero JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 243 Reaction score 75 Oct 29, 2012 #1 Najua unapata picha nini nazungumzia... Kiukweli sijajua mahusiano ya haya mambo mawili... Kwanin mtu akisoma sanasana haya masomo notes anakuwa anahsi usingzi kwa sehemu kubwa.. Nin mahusiano yao..? Refer: Maktaba na vipindi vya darasani.. Ur welcm
Najua unapata picha nini nazungumzia... Kiukweli sijajua mahusiano ya haya mambo mawili... Kwanin mtu akisoma sanasana haya masomo notes anakuwa anahsi usingzi kwa sehemu kubwa.. Nin mahusiano yao..? Refer: Maktaba na vipindi vya darasani.. Ur welcm