MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Jul 26, 2014 #21 Mokoyo said: watoto raha sana Click to expand... sanaaaaa aiseeee
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Jul 26, 2014 #22 Evz said: mie kwa kwangu kanalala mchana usiku hakalali kabisa. Click to expand... sijui kwanin ati.. yani ni shida ni mgogoro daaaa yan hupati muda wa kupumzik
Evz said: mie kwa kwangu kanalala mchana usiku hakalali kabisa. Click to expand... sijui kwanin ati.. yani ni shida ni mgogoro daaaa yan hupati muda wa kupumzik
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Jul 26, 2014 #23 muhomakilo jr said: Daah anafafana na wangu,anatoa kilio cha nguvu harafu hana chozi.. Click to expand... hivyo hivyo yaani mchozi hana napiga kelele km mwehu nambembelezaaa ndo akiwa anaelekea kufumba fumba macho nampa nyonyo ndo alale
muhomakilo jr said: Daah anafafana na wangu,anatoa kilio cha nguvu harafu hana chozi.. Click to expand... hivyo hivyo yaani mchozi hana napiga kelele km mwehu nambembelezaaa ndo akiwa anaelekea kufumba fumba macho nampa nyonyo ndo alale