Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,580
Salamu wakuu hili tatizo linanisumbua sana hadi nakosa raha...nipo chuo nasoma...ila ikifika saa 3 usiku nina shikwa na usingizi wa hatari...pia mchana wakati vipindi vinaendelea usingizi unanisumbua sana ingawa nina wahi kulala...usiku,naombeni mchango wenu wakuu