Mkuu, Acha kupiga punyeto na punguza Jimai (tendo la ndoa), nahisi ndio matatizoSalamu wakuu hili tatizo linanisumbua sana hadi nakosa raha...nipo chuo nasoma...ila ikifika saa 3 usiku nina shikwa na usingizi wa hatari...pia mchana wakati vipindi vinaendelea usingizi unanisumbua sana ingawa nina wahi kulala...usiku,naombeni mchango wenu wakuu
Salamu wakuu hili tatizo linanisumbua sana hadi nakosa raha...nipo chuo nasoma...ila ikifika saa 3 usiku nina shikwa na usingizi wa hatari...pia mchana wakati vipindi vinaendelea usingizi unanisumbua sana ingawa nina wahi kulala...usiku,naombeni mchango wenu wakuu