Usinijaji kwa User Name yangu

Usinijaji kwa User Name yangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Hilo swala nimeamua kulileta kwenu kuhusu User Name yangu.

Kujiita zero IQ haimaanishi kwamba Niko zero Brain au empty kabisa.

Don't judge for my user Name eti ni kwa sababu ni Zero IQ .

Unaweza kujiita Genious by user Name lakini uko Empty kichwani na hakuna chochote unachokijua.!

Kujiita Dr haimanishi kwamba wewe ni tabibu unaweza kujiita Dr ata kama wewe ni house maid.

Don't judge for my User name jina langu lina maana kubwa sana zaidi ya ufikiliavyo.

Call me Zero IQ.!
 
Mkuu jina la mtu huwa linatoa taswira ya mtu alivyo ni mara chache sana kupona ila kwa wewe mule mule
Kwa hiyo unataka kusema Avator yako inarelate na wewe mwenyewe mkuu?
 
Ha ha ha

jina lina akisi tabia..

ndio maana wakristu tumekatazwa kuwaita watoto majina ya ajabuajabu...

Jitahidi kubadili username tu
 
Kwa hiyo unataka kusema Avator yako inarelate na wewe mwenyewe mkuu?

Akili nyingi sana mimi,


mcheki mwenzio jingalao,lizabon na zero iq yani mule mule 100% hamjatoka nje ya mlivyo
 
Magufuli,Matatizo,mawazo,shida, tusekile
 
Ha ha ha

jina lina akisi tabia..

ndio maana wakristu tumekatazwa kuwaita watoto majina ya ajabuajabu...

Jitahidi kubadili username tu
Kubadili jina langu ni vigumu mkuu na hauwezi kunishawishi kuhusu hilo ata kidogo.
 
Akili nyingi sana mimi,


mcheki mwenzio jingalao,lizabon na zero iq yani mule mule 100% hamjatoka nje ya mlivyo
Mkuu tafadhari sipo kwenye hiyo list Refer post zangu kama zinaendana na post za hao unaowataja
 
Back
Top Bottom