Mr_mkisi
Member
- Sep 24, 2024
- 15
- 47
MwanaKidigitali....hivi unajua Game ya biashara ya Laptop ipo tofauti sana kwa Ground tofauti na wengi wanavyo fikiria.
Unaweza kujiuliza kivipi ....?
Swali Zuri ...!
Nakutana na watu wengi sana ambao wanalalamika kuuziwa Laptop ambazo haziwezi kufanya chochote ili hali wamenunua Ghari huku wakilalama kuwa wamepigwa.
Haya yote mimi nimeyajua wapi ...!?
....Nimekuwa kwwnye Game la biashara ya Laptop na Simu kwa Miaka 5 sasa ,kiufupi ni muuzaji mzoefu 📌.
Najua utakuwa unajiuliza . Anapatikana wapi mwamba? Na duka lake lipo wapi ....
Mimi napatikana Kariakoo mtaa wa Aggrey hapa tunauza kwa jumla na reja reja bei zetu ni za kila mmoja apate.
Naitwa Mr. MKISI unaweza kujitafuta 0628210865 pia tuna group la Simu & Laptop kwa bei ya Jumla na Reja reja naweza kukuunga .
Ahaa ona sasa kwa sbaabu ya ubora wa bidhaa zetu original grade 1 hadi nasahau lengo la andiko hili.
Kiufupi .... Unaweza ukawa na laki 4-5 ukienda kununua Simu unapata simu ya maana sana (nzuri) .
Lakini pesa hiyo ukihitaji Laptop ni ngumu kupata Laptop yenye viwango na inaweza kufanya kazi za uhakika.
Katika uzoefu wangu .... Nimegundua ...
Watu wengi wanafikiria bei za Simu zinaendana na Laptop....
Mfano .: mteja anaweza kuja dukani ,akasema anahitaji Laptop yenye Ram 8-16 .
Storage SSD 512 - 1 T
Processor 2+
Kwa maneno rahisi anahitaji laptop kwa ajili ya Heavy task.
Ukimuuliza Bajeti anasema ana laki 3 au 5 .
Kwa haraka kwa pesa hiyo unaweza kupata Laptop kwa ajili ya Basic Tasks .... Mfano .kwa ajili ya matumizi madogo madogo ofisini ,kusomea ,Kufundishia nk. Ila sio kufanyia heavy tasks.
Pengine mwingine anaweza kujiuliza Heavy task maana yake nini ?
Well ,hiyo maana yake kutumia kwenye kazi nzito mfano ....kufanyia Designing, ku editia Video au kazi yeyote ambayo inatumia processor kubwa wakati wa ufanyaji.
Sasa nini kinatokea ? ...wafanya biashara wengi huwa wanakudanganya na kkuhakikishia kuwa itafanya kazi vyema kumbe sio hivyo wanakupa Laptop ndogo itakayo endana na bajeti yako maana wafanya biashara wengi hawapendi kuacha pesa.
Kwa upande wangu ni tofauti....ni heri nisikuuzie Laptop kuliko kukudanganya , nakueleza ukweli kama utapenda nitakupa ila kama unahitaji laptop ya Heavy duty na una pesa kidogo nakushauri ni heri ukaongeza pesa kisha urudi tena.
Nini kifanyike ? ....kabla hauja enda kununua Laptop fanya kwanza research laptop unayo itaka na bei zake kisha mtafute Supplier / muuzaji wa Uhakika ongea nae vyema kisha nenda ukaichukue.
Hii itaepusha malalamiko ambayo kimsingi mnunuaji ndio Chanzo ...., na Muuzaji kwa sababu anahitaji pesa ni ngumu kukuambia ukweli.
Ushauri: ili upate Laptop nzuri Refubrished yenye uwezo mkubwa (heavy-duty) angalau uwe na kuanzia laki 7 na kuendelea , ila chini ya hapo ni ngumu.
Ila ..
Unaweza kupata chini ya hapo kwenye masoko ya mtandaoni kama Facebook Marketplace,Jiji ,Kupatana nk . maana kuna watu wanauza baada ya kupata shida hivyo unaweza kupata mali nzuri kwa bei ya kawaida .
Mimi kabla mteja hajanunua Huwa natoa elimu kwanza pia natoa elimu kama hii kila siku kupitia group , jiunge na group letu sasa ...
Save namba yangu +255 628210865 kisha nitext Niunge na mimi nitakuunga moja kwa moja 🤝
Karibuni sana na hata kama hutaki kununua kuna kitu ungependa kujua zaidi kuhusu simu na Laptop.